MWANASIASA mkongwe aliyewahi kuwa waziri na mbunge kwa miaka 25, Jenista Joakim Mhagama (58) amefariki dunia. Kwa mujibu wa ...
Huko nchini Tanzania hatimaye Bunge la nchi hiyo limempata Spika wake mpya atakayeongoza muhimili huo kwa kipindi cha miaka mitano, baada ya zoezi la uchaguzi lililofanyika hii leo bungeni jijini ...
Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania, Job Yustino Ndugai, amezikwa shambani kwake wilayani Kongwa mkoani Dodoma. Viongozi mbalimali wa chama na serikali, wananchi wa Kongwa na waombolezaji wengine ...
Subscribe to our newsletter and stay updated on the latest developments and special offers!
NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini mkoani Manyara, Daniel Sillo amesema serikali itaendelea kuwekeza katika sekta ya ...
Spika wa Bunge la taifa nchini DRC, Vital Kamerhe, amejiuzulu. Alikuwa mada ya ombi ambalo lilipaswa kupigiwa kura wakati wa kikao cha mashauriano katika makao makuu ya Baraza la Wawakilishi mjini ...
Spika wa Bunge la Kitaifa, Justin Muturi amekataa kuidhinisha orodha ya viongozi wa upinzani bungeni iliyowasilishwa katika bunge hilo. Muturi amesema utaratibu wa sheria za bunge haukufuatwa na ...
Bunge la Ulaya limepitisha azimio la kuitaka Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EU) kusitisha mpango wa ufadhili kwa Tanzania baada ya ghasia za uchaguzi kusababisha mauaji ya raia na uharibifu wa mali ...
Jijini Kinshasa, mvutano ulijitokeza mwanzo wa kikao cha Baraza la Bunge, haswa katika Bunge la taifa. Siku ya Jumatatu, wabunge walipata saini nyingi kwa ombi lao la kutaka kuondoka kwa wajumbe ...