Katika mafunzo hayo yaliyofanyika juzi Mbunge Chege na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Rorya, Ongujo Wakibara ambao wanadaiwa ...
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa ameeleza kwamba sheria ambayo ilitumiwa na serikali kuishurutisha ...
Mkurugenzi Mtendaji wa The Foundation for Civil Society (FCS), Justice Rutenge, Akizungumza na waandishi wa habari katika ...
Fainali ya shindano la kusaka vipaji nchini Bongo Star Search (BSS) inatarajiwa kufanyika Februari 28, 2025, katika Ukumbi wa Ware Houseuliopo Masaki, Dar es Salaam. Akizungumza na Mtanzania Digital, ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Jumuiya ya Kampuni zinazohusika na ...
Robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika timu ya Simba imeangukia kwa Al Masry ambapo mchezo wa kwanza itaanzia ugenini wa ...
Timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Equatorial Guinea katika mchezo wa kufuzu WAFCON 2026 uliochezwa leo Februari 20, 2025 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.
Operesheni maalumu ya kudhibiti fisi wakali na waharibifu wanaosababisha taharuki mkoani Simiyu imeonesha mafanikio makubwa ...
Chama cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC) kinatarajia kutoa tuzo za viwanda na biashara kwa wanawake wajasiriamali ...
Viongozi wakuu wa Chadema wakiongozwa na Mwenyekiti, Tundu Lissu, na Katibu Mkuu, John Mnyika, wanadaiwa kupanga kumfukuza uanachama Lembrus Mchome, baada ya kada huyo kuhoji uteuzi wa viongozi wa ...
Serikali imeitaka Bodi ya Wakurugenzi ya Tume ya Nguvu za Atomiki (TAEC) kuhakikisha inaendelea kutenga fedha kwa ajili ya ...
Akizungumza Februari 18, 2025, jijini Dar es Salaam wakati wa kikao cha wadau wa zao la ngano, Mkurugenzi Mkuu wa COPRA, ...